Kabachubya
Member
- Oct 6, 2009
- 87
- 10
kule wenzio wanakula, sasa unafikirin wataruhusu achukue kitoweo chao? (kambwa kenyewe kalikua kadogoooooooooo)Ukikosa kabisa nenda Iringa....maeneo ya Kihesa!
Duu,kama ulijua nilichotaka sema!!Lakini kuhusu hiyo kadi pale itakuwa issue!!!nenda pale victoria kituoni kuna jamaa huwa wanauza pale wa kila aina
Wangu walikuwa wanatafuna sufuria!!Kuwa makini na hao mbwa wangu wamekula sehemu za plastic za gari na hata kukata mabomba usiku nimeenda kwa dr. nikafikiri wanakichaa akasema niwape mafupa lakini wanamaliza ndani ya nusu saa then wananza kula plastic za gari...unajua dawa gani niwape??
Wangu walikuwa wanatafuna sufuria!!
Ha ha ha! Mzee niko serious mbwa wangu ni noma ni kwa vile nyumbani wanawapenda sana ningemgaia mbwombaji bure NILIWAPATA ARUSHA kama ana mtu anamfahamu amtafutie kwa wazungu wa UN
Basi mzee na mbwa hao kwenu sitaki tena niwe shemejio...dadako simuwezi!
Kwa bahati nzuri sista yuko kwenye boksi ataki kurudi huku. Nampga maua aweke kwenye kaburi la mtaalamu wa hip hop 2PAC
Duu ngoja nijipange nimzukie unajua ukiwa na shem best friend huwa poa sana!
Kwenye hii breed ya Rottweiler a.k.a Butcher dog, jiandae na misosi, na kesi...!Habari wana JF,
Natafuta mbwa wa kununua, aina ya ROTTWEILER au DOBBERMAN mwenye umri wa miezi 10 hadi mwaka mmoja na miezi mitatu. Awe na card yake inayoonyesha amechomwa chanjo.
Kwa mawasiliano: 0717 123464
nenda pale victoria kituoni kuna jamaa huwa wanauza pale wa kila aina
Kuwa makini na hao mbwa wangu wamekula sehemu za plastic za gari na hata kukata mabomba usiku nimeenda kwa dr. nikafikiri wanakichaa akasema niwape mafupa lakini wanamaliza ndani ya nusu saa then wananza kula plastic za gari...unajua dawa gani niwape??
Inawezekana ni njaa, Rottweiler wanakula sana na wanahitaji mafunzo na mazoezi ya kutosha, hii ya kula plastic ni dalili ya frustration na nakushauri ukimuona Rot ameanza hivi bora tafuta mbinu ya kuachana nae, hawa mbwa wana hasira sana na kuna siku atachanganya hasira zake za njaa na frustration za mtu mgeni machoni pake utapata murder case! Kuwa makini sana.
.
kaka wale wa victoria wengi koko, sijawahi ona breed nzuri pale na kama huzijui vizuri aina za mbwa unaweza kuuziwa tu jina! kama uko dar pale shoperz plaza mlangoni huwa wanabandika matangazo ya wanaouza mbwa, ila wengi pale ni germany shepheard...kama alivyokushauri kweli hawa gs ni wazuri sana na wanafundishika kiurahisi kuliko hao rw na dm,nenda pale victoria kituoni kuna jamaa huwa wanauza pale wa kila aina