Natafuta mbwa wadogo wawili

Natafuta mbwa wadogo wawili

Ngararimu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
288
Reaction score
500
Wanajukwaa mimi naishi Dar. Nasumbuliwa sana na vibaka kutokana na ugumu wa maisha wanahangaika kutafuta chote cha kuiba.

Nimeamua nifuge mbwa kwa ajili ya kuniamsha wakiingia. Mwenye pupy wa hawa mbwa tuonane in box tafadhali sana.
20200602_121808.jpeg
 
Mkuu tafuta mganga wa kienyeji unguja au tanga au nenda mikoani huko Chaka kabisa.. achana na waganga wa dar , hakikisha anaekuja kuiba anakufa ... Roho mbaya roho mbaya tu... Au vuka maji uende hapo unguja ..

Hakikisha mtu anakuwa chizi ... Hujiulizi kwanini unguja Hakuna vibaka na ikitokea lazima unyooshwe...

Ifike muda hakuna kucheka na jitu linalorudisha maendeleo ya mtu nyuma. Piga spana.
 
Kama una mawasiliano na Malin Hasan Malin wasiliana naye juzi Kati Kuna kibaka alienda kuiba kwake akajikuta amelala usingizi Hadi alipokuja kuamshwa na polisi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu jiridhishe na taarifa yako. Usahihi ni kwamba Malin Hasan Malin ni Marehemu, apumzike kwa Amani.
 
Mkuu tafuta mganga wa kienyeji unguja au tanga au nenda mikoani huko Chaka kabisa.. achana na waganga wa dar , hakikisha anaekuja kuiba anakufa ... Roho mbaya roho mbaya tu... Au vuka maji uende hapo unguja ..

Hakikisha mtu anakuwa chizi ... Hujiulizi kwanini unguja Hakuna vibaka na ikitokea lazima unyooshwe...

Ifike muda hakuna kucheka na jitu linalorudisha maendeleo ya mtu nyuma. Piga spana.
Hakuna kucheka na kima

Au mnasemaje mods
 
Tanga napo MashaAllah
 
Mkuu umeshapata, ninae south African boerboel, mbavu nene anayehitaji anichek inbox location Mwanza.
Ninao watatu nilifuga kwa ajili ya wizi wa kuku wezi walikuja na sumu wapi wakashindwa matokeo yake mbwa alikata waya aka tresspass akamchakaza mmoja wa wezi alipiga yowe tusingemuwah ilikuwa ni kesi ya mauaji..
 
Picha zao
 
Weka bei mkuu
 
Back
Top Bottom