Karibu Sana
JF-Expert Member
- Mar 14, 2020
- 991
- 1,774
Sina tamaa [emoji23]Mmmmmmm! Mbona bei rahisi hivyo?
Sina tamaa [emoji23]Mmmmmmm! Mbona bei rahisi hivyo?
Nitumie na mimiNakutumia DM
Daaah! Hivi una Mungu wewe?Mkuu tafuta mganga wa kienyeji unguja au tanga au nenda mikoani huko Chaka kabisa.. achana na waganga wa dar , hakikisha anaekuja kuiba anakufa ... Roho mbaya roho mbaya tu... Au vuka maji uende hapo unguja ..
Hakikisha mtu anakuwa chizi ... Hujiulizi kwanini unguja Hakuna vibaka na ikitokea lazima unyooshwe...
Ifike muda hakuna kucheka na jitu linalorudisha maendeleo ya mtu nyuma. Piga spana.
mkuu uyu cmtunga sela wa chama pendwa pale lumumba??🏃🏻Milioni moja nauza huyu anafaa kwa ulinzi View attachment 1542247
Huyu nimempa jina lisu[emoji23]mkuu uyu cmtunga sela wa chama pendwa pale lumumba??[emoji1322]
mbona nijiwe uyo kbisa mwangalie vzrHuyu nimempa jina lisu[emoji23]
Sasa wewe unajua kuliko Mimi ninae mfuga jina nimempa mwenyewe [emoji23][emoji1787][emoji2960]mbona nijiwe uyo kbisa mwangalie vzr
Sasa wewe unajua kuliko Mimi ninae mfuga jina nimempa mwenyewe [emoji23][emoji1787][emoji2960]
[/unazingua mkuu! Uyu nijiwe mwangalie kichwa niyeye bhn
Mmmmmmm! Mbona bei rahisi hivyo?
Mkuu, mbona umepanic hivyo? Nami hapo nilikuwa simaanishi kuwa hiyo bei ni ndogo. Nilikuwa NAKEJERI tu, nikimaanisha hiyo bei ni kubwa sana.Acha ujinga kamunue wa mamilionisehemu nyingine basi. Mi nataka nimwombe mwamba kwa laki 4 we unakuja na fyokofyoko zako wengine uchumi ni wa chini bado!!