Hahahaha, huyu anafaa kufugwa ndani ya nyumba, tena ni wazuri kwa watoto. Jirani yako ana mbwa wa aina gani? au ni hawa wetu tu wa kawaida?Duh! Kumbe mimi bado sana, huyu naye ni mbwa??? Khe, nilijua hili ni mdoli, kama nisingesoma content ningekuelekeza pana jirani yangu anafuga mbwa wengi na tena wawili wamezaa
Presha Alter, presha. Unamjua mwanao akililia kitu, ndani hakutoshi! lol
As if wampa kila aliliacho! lol... But the puppy is worth it.... it is a "yes" all the way....
Sio kila kitu. Hii I promised nitampa, sasa hapa majuzi kaona puppy for sale ndio akakumbuka. she wants it and she wants it now. Unfortunately the ones we saw are not adoptable at present (nimekutumia picha yake kule). Sijui nitafute wapi sasa.
Kujiandaa vipi tena? we leta offer tu, kama ninazo nitakwambia, kama sina basi. Si umeona Boflo anajaribu kuniuzia kwa bei ya n'gombe mbili?
Boflo hana bwana, ananirusha roho tu. Nimemwambia alete picha kwa PM, I haven't seen any PM so far. Halafu hiyo bei yake, sawa na a mature/trained security dog...I know dear.... I know... Nimeona. Really really cute. I know utapata, naona Boflo tayari anafanya the needful....lol