Ninacho kuambia ni kweli tupu kwani wewe unadhani kuna aina mpya ya mbuzi bado wanaumbwa na mungu ?
,wala usishangae hata michungwa ya kupandikiza kwa milimao kisha unavuna ndani ya two years ipo
Kuhusu hao mbuzi ni product ya dog + goat

Kuna vijimchezo kidogo vinachezwa kuwezesha mambo watu wanatafuta hela kwa nguvu zote mimi mwenyewe ninaye kuambia hizo mbinu nimeshuhudia kuna dawa zinawekwa kuwezesha jambo hilo kwani huoni kuku wa kizungu wanavyo taga mayai yasiyo weza kutotolesha vifaranga hiyo kitu inaitwa sayansi chotara
Kama uni amini kula nyama ya huyo mbuzi siyo kali kama nyama ya mbuzi halisi haina harufu kali ya mbuzi wa kawaida pia uwezekano wa kusababisha ugonjwa wa gauti ni mdogo kwa sababu haina chum chumvi chumvi nyingi kama mbuzi wa kawaida ,yuliki acidi