Unakuwa tajiri hivi hivi kimasiharaWeka na bei kabisa ili kesho asubuhi nikadandie kwenye mloge!!
Milonge imejazana hapa kumbe Ni utajiri na hatujui mkuu,akitaja hela nzuri nitakualika uje tupurue tuagane na umasikini🤗🤗🤗🤗Unakuwa tajiri hivi hivi kimasihara