Natafuta Mbegu ya Vitunguu Maji

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
8,105
5,629
Nipo Meatu kwa Muda,ila Nyumbani ni Iramba!
Naitaji Mbegu Ya Vitunguu ya Kutosheleza Heka Moja!
Mwenye Nayo Naomba Anipe Bei Tufanye Biashara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom