Natafuta mawakala wa elimu nje ya nchi

Natafuta mawakala wa elimu nje ya nchi

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,116
Ninawatafuta wale jamaa wanaotafutia vyuo au shule wanafunzi wanaoenda kusoma nje wao wanalipa ada kisha muhusika anakuwa anawalipa kwa awamu au kidogo kidogo nataka nafasi za vyuo au shule za nchini uingereza UK tu nahitaji mawasiliano yao 0787 429 104
 
Subiri waje.

Kuwa makini na matapeli
 
Ninawatafuta wale jamaa wanaotafutia vyuo au shule wanafunzi wanaoenda kusoma nje wao wanalipa ada kisha muhusika anakuwa anawalipa kwa awamu au kidogo kidogo nataka nafasi za vyuo au shule za nchini uingereza UK tu nahitaji mawasiliano yao 0787 429 104
wachek GLOBAL EDUCATION LINK.. ni nawakala wa vyuo vya nje , ofisi zao zpo Sabasaba uwanja wa Maonesho.. kwa mawasiliano wacheki kupitia website yao WWW.GEL.CO.TZ , au no# 0627623713.. Wana ofisi pia Mwanza, mbeya, Arusha ,n.k.
NB; NINA UHAKIKA NAO NA SIYO MATAPELI KUNA DOGO WANGU ANASOMA INDIA KUPTIA WAO, NA NIMESHA FIKA OFISI ZAO MARA KADHAA.
 
Ninawatafuta wale jamaa wanaotafutia vyuo au shule wanafunzi wanaoenda kusoma nje wao wanalipa ada kisha muhusika anakuwa anawalipa kwa awamu au kidogo kidogo nataka nafasi za vyuo au shule za nchini uingereza UK tu nahitaji mawasiliano yao 0787 429 104
Nenda Global link education ofisi zao zipo dar km ckosei viwanja vya saba saba wanadeal na China UK India na wengne nimesahau
 
Back
Top Bottom