wadau najua wengi mnauelewa wa machine ( encubetor ) yenye kuweza kumudu mazingira ya kitanzania kwa maana ya umeme kukatika katika na nahitaji pia kupewa bei inauzwa shi ngapi na inachukua mayai mangapi na maelekezo yote
Nipo mwanza, sengerema wilAyani
Huna yenye bei ya chini zaidininayo ya Mayai 3,168 .... bei negotiable .. 3M ..... full automatic
Mi natengeneza za mayai 300 laki nane
Wewe unapatikana wapi katika Tanzania hii?
N DmMi natengeneza za mayai 300 laki nane
N Pm NakupatajeMkuu Kama Uko Serious Kuna Jamaa Yuko Geita Anayo Incubator Yenye Uwezo Wa Kuangua Mayai 48 ... Ni Automatic Made In China ... Bei Ni Laki Tatu Na Nusu Tu ...
Ya mgerumani au Tz sidoninayo ya Mayai 3,168 .... bei negotiable .. 3M ..... full automatic
Tiyari Nimesha Ku PM mkuuN Pm Nakupataje
weka bei mkuuMwenye kuhitaji 'imported',
Mpya kabisa asisite kuwasiliana nami: Simu/WhatsApp: 0714591548.
Zinapatikana Dar es salaam.
Zipo zifuatazo:
Mayai 1080.
Mayai 560.
Mayai 260.
Mayai 60.
Zote ni za nje na automatic.
Asante.