natafuta mashine ya kunyonyolea kuku

natafuta mashine ya kunyonyolea kuku

Spinster

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
487
Reaction score
138
Nwanajf nahitaji zile mashine za kunyonyolea kuku haraka sana ..kwa ajili ya biashara yangu ya kusupply nyama ya kuku. Mwenye kujua naweza pata wapi tafadhari anijuze Pm, bei na uwezo pia nikipata yenye uwezo wa kunyonyoa kuku wanne itakua vyema.
Nakaribisha order za wateja wa nyama pia..karibuni
Shukran!!!!
 
Agiza alibaba.com toka China moja kwa moja.
 
Adan
Agiza alibaba.com toka China moja kwa moja.
asante mkuu ..nadhan hats huku kwetu zipo tu nzuri china cost ni kubwa ya transit ila ntachek number nione
 
Back
Top Bottom