Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,628
- Thread starter
- #121
Unaonaje nikiwa zaidi ya rafiki kwako?
Unaonaje nikiwa zaidi ya rafiki kwako?
Hahahaha, dah asee ,huu uzee ushakua tabu sasa, hii inaitwa makavu live,ngoja nianze kufanya namna niwe kijana, Hahahaha
paka super black
Doh ikoje hy ,na ukipaka unakuaje ? Makunyazi usoni yanaisha au ?
Hahahaha, hz mvi ni Baraka ,binti yanguYa mvi hiyo
Marafiki hawatoshagi kamwe!inamaana marafiki zako tuliopo hatujakutosheleza?
Karibu sana aggyjayNahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke!
Wawe umri wowote
Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge.
Ni hayo tu
Aggy
Naomba namba yako nikuunge ktk group letu la kuondoleana upweke
Doh!! upweke unatolewa na kubet kweliMimi nipo kwenye group la betting nikuunge?
Doh!! upweke unatolewa na kubet kweli
weka namba kabsaNahitaji marafiki wa kuchat, kushea nao mawazo..nina upweke!
Wawe umri wowote
Au kama una group la whatsapp lenye mambo ya maana niunge.
Ni hayo tu
Aggy
Hii mpya kwangu, akipunwa si atadata sasaNdiyo
Hii mpya kwangu, akipunwa si atadata sasa
Hawezi kudata trust me
Kwa ushauri wako hutoenda mbinguni