Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,628
- Thread starter
- #101
Mi siko interested na mapenzi kwa sasaKiivyo yani. Au neno mapenzi kwako halieleweki Aggy. Hujawahi pewa penzi na jinsia ya kiume?
Mi siko interested na mapenzi kwa sasaKiivyo yani. Au neno mapenzi kwako halieleweki Aggy. Hujawahi pewa penzi na jinsia ya kiume?
Mi siko interested na mapenzi kwa sasa
Hahahaha, mie pia nimecheka balaa ,kuna watu hawajatuliahakyamama tena jf sihami
mtu chake njoo uchukue jibu lako huki
Koroaho zangu zimedodaHahahaha, mie pia nimecheka balaa ,kuna watu hawajatulia
Kwa sababu hujapata wa kukupa mapenzi ya kweli. Jifanye unajaribu kwangu. Hutojuta hakika.
Nakusubiri.
Hahahaha, we kumbe nawe hujatulia,ktk hao wapya na mm niwemo basiKoroaho zangu zimedoda
Marafiki wamenikimbia natafuta wapya
mapenzi ya kweli unayajua
you are missing out,hii kitu ni dawa ya stress na upweke.hapana
Hahahaha, we kumbe nawe hujatulia,ktk hao wapya na mm niwemo basi
inamaana marafiki zako tuliopo hatujakutosheleza?Ukipata marafiki wengi naomba unigawie na mimi wachache
Nayajua haswaa. Njoo nikupende. Wahi PM kabla sijazima data ukanikosa oohooo
AsanteKaribu rafiki,don't be lonely
mhh fyuu
Hapana bana.. Naiogopayou are missing out,hii kitu ni dawa ya stress na upweke.
Hahahaha, dah asee ,huu uzee ushakua tabu sasa, hii inaitwa makavu live,ngoja nianze kufanya namna niwe kijana, HahahahaMi skutaki bwana ushazeeka hujioni
Poa mkuu siku ukipata ujasiri wa kutesti utanielewa.Hapana bana.. Naiogopa
He kumbe hutaki wazee?? mbona ulisema rafiki wa umri wowote?....anyway nami nakuja PM manake nimespecialize kwenye kutoa upwekeMi skutaki bwana ushazeeka hujioni