NATAFUTA MARAFIKI

NATAFUTA MARAFIKI

Hapo pa "mie ni binti"....mbona kama umeiga wale wanaotengeneza mitego ya Panya.
 
Mmmmh kwenye ukurasa wa kazi unatafuta marafiki, nenda ukurasa wa marafiki na mapenz, na hapo " mim binti " hako kamtego hikoooo heeeee hiyo ndio password ATM zitaingia zenyeweeeee 🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇🙇 ila kila la kher ukiona kimya ujue vyuma vimekaza na jero mpaka tuiite tena mia tano. Goodluck
 
Peter yupo kazini.. kila la kheri peter.
 
Hao unaoishi nao jirani hawafai kuwa rafiki zako? Acha hizo aisee na email yako ya yahoo
Hata ukisema una bikra ya tigo humpati mtu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom