Natafuta marafiki

jane1993

Member
Mar 26, 2017
62
61
kama nilivyoeleza hapo juu natafuta marafiki hasa wasichana kwa wenyeji wa Dodoma cause nipo so stressed so nahitaji wa kunipa company hasa wakati huu ambao nahisi kama dunia inanielemea ila asiwe mnywa pombe au mwenye tamaa za mambo ya ajabu
 
ni story ndefu but kwa kifupi kuna mwanaume nampenda mno but hajali hisia zangu
Mamii nakujibu kama mwanaume nikiwa kwenye mazingira yangu ya kujidai.

Mwanamke nisiyempenda akinipenda na nikaonyesha kua simpendi akazidi kunipenda kifuatacho ni kumtumia.
Katika namna ambayo hakuwahi kuifikiria kama inawezekana, kila utumbo ambao nitajisikia kuufanya kitandani nitafanya naye.

Wakati wote huo nitakua siwi wa kwanza kupiga simu, sijibu sms kwa wakati labda kama kuna kitu nataka. Hautaona nikikujali iwe kiuchumi au hata kwa vitu mbali na kiuchumi.

Hoja yangu ni kua: Achana na mwanaume ambaye hajali hisia zako.
 
Hoja yako ndiyo jibu sahihi kwake.
 
kama nilivyoeleza hapo juu natafuta marafiki hasa wasichana kwa wenyeji wa Dodoma cause nipo so stressed so nahitaji wa kunipa company hasa wakati huu ambao nahisi kama dunia inanielemea ila asiwe mnywa pombe au mwenye tamaa za mambo ya ajabu
Hivi una stress kweli mbona chaguzi nyingi hivyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom