Natafuta marafiki wafanyabiashara

hahahahaha hatari sana mkuu wangu.... mabosi tayari washafahamika aisee.... karibu sana mkuu uje bhana tulisongeshe pakiwaka ni kuingia manta tu hakuna namna hahah..
 
hahahahaha hatari sana mkuu wangu.... mabosi tayari washafahamika aisee.... karibu sana mkuu uje bhana tulisongeshe pakiwaka ni kuingia manta tu hakuna namna hahah..
Hhaahah manta pana mzuka wake mkuu, hasa kukiwa na ishara za mkanda kuwaka, daah na ukiwaka hadi ndege wa angani wanajua pilika kama zoote kila kona, utaskia had mama lishe wasema duara X mfuko una simamia gram7 wakat si kwelπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Nmekarbia sana kuja mkuu nyanya zkishaanza kuwa nyng nafunga genge naja ntakuwa sipig hela tenaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
hahahhahaha hayo mambo ya gram 7 yamepitwa na wakati mkuu siunajua siku hizi tunachimba kisharobaro.... utaskia maduara ya pale chinichini mfuko mmoja wanauzia milioni....na hapo juu juu wanauzia mia tano....lazma sharubu zisimame kama paka mkuu hahaha... karibu sana mkuu huko kwenye nyanya hakuna misamiati pia?!..
 
Hhahahah sawa nmekusoma mkuu watatamka bei ya mfuko πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ
Misamiati ipo mingi ukiacha ule masalo tuliouzoea wengi, ipo duara butu ujue hyo n Assil F1tutaenda hukoo nyuz za kilimo biasharaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hhahahah sawa nmekusoma mkuu watatamka bei ya mfuko πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ
Misamiati ipo mingi ukiacha ule masalo tuliouzoea wengi, ipo duara butu ujue hyo n Assil F1tutaenda hukoo nyuz za kilimo biasharaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
hahaha mpaka hapa nmepoteana mkuu....Assil F1 tena?!....πŸ™Œ
hakuna neno ntazidi kukuupdate na kukujaza upepo mpaka urudi matandani hakuna namna ..
 
Ivi kumbe akuna wawekezaji kabisa ngoja nikauze nyumba nirudi kitu kinasoma ivyo natafuta partner watu wanaleta kona kona kibao na marudio ni ya kuchukua mtoni sio ya kununua wa Tanzania atuna bahati nikiuza nyumba mtu asinifate pm kuniuliza ni wapi j5 naondoka.
 
Mimi sina jaziba na swala la uaminifu sijamuomba mtu pesa cash kwa biashara km hii tunagawana majukumu km mujuavyo ninyi km mmoja ana dill na madawa mwingine mahtaji mengine anyway sihitaji tena mtu wa kuwa nae nishapata way out.
Hakuna urahis kihvyo kama unavyotaka ww iwe...!uaminifu umekuwa zero siki hiz..pungza jazba
 
mkuu kuwa mpole bhana...
Sina hasira mkuu tatizo watu wanakuja pm af wanaleta story kibao km pesa una au uwezi unasema sio vilienda vikarudi unajua izo ni pesa kwan?.nan! Atawekeza makalio wote tutaweka pesa na wote tutapata pesa mwisho jf ni kijiwe cha story tu km vijiwe vingine tuendelee kunywa kahawa.
 
0788871919 namimi nahitaji hii kitu naomba nicheck.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…