Natafuta marafiki wa kweli na wenye kujali

Natafuta marafiki wa kweli na wenye kujali

Tujuze zaidi. Usije anza stori za mkimbizi sijui una mapene aliachaga baba...mara ooooh sijui nataka nikutumie hayo mapene.
 
mm ni mwanaume na nina umri wa miaka 21 na naishi zanzibar na napendelea marafiki wa age hizo coase tunaendana
 
mm ni mwanaume na nina umri wa miaka 21 na naishi zanzibar na napendelea marafiki wa age hizo coase tunaendana
asante sana mkuu.

Zanzibar sehemu gani? Jang'ombe, Forodhani, Michenzani, Bububuu, Kijichi na kuendelea.

Hebu funguka kwanza
 
nafsi yako na Mungu wako ndio marafiki wa kweli na wenye kujali katika hali zote
 
mm ni mwanaume na nina umri wa miaka 21 na naishi zanzibar na napendelea marafiki wa age hizo coase tunaendana

Umemaliza shule lini?
Acha kuchat tulia shuleni wewe mtoto...
Wenzio tunachat but kila muda zinaingia pia mwisho wa mwezi..
 
nipo mbweni znz.....kwani nani amekuambia kama muda wote nina chat stanboy??????????????? hata nisipo soma kila moja na maisha yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom