Natafuta marafiki wa kiume wa kuchat nao

Natafuta marafiki wa kiume wa kuchat nao

Duu kanikumbusha mshkaji wangu aliwahi kujiita Rosemary Mgaya naye kamaliza 6, anatafuta marafiki. Eebwana ndo utajua wanaume tunachangamkia fursa .. Na hii hapa kuna kila dalili ya Rahma kuwa anakoja akiwa amesimama.. Ni mtazamo wangu tuu,
 
Umri wangu umezidi ninamiaka 81 sasa.

Wewe poyoyo kumbe nawe unataka mambo kama haya?
Li CCM lenu limewashinda unataka kumfia mtoto wa watu.
Wewe dada achana na huyu mzee,usije lialia hapa kwamba hatukukuambia.
 
Duu kanikumbusha mshkaji wangu aliwahi kujiita Rosemary Mgaya naye kamaliza 6, anatafuta marafiki. Eebwana ndo utajua wanaume tunachangamkia fursa .. Na hii hapa kuna kila dalili ya Rahma kuwa anakoja akiwa amesimama.. Ni mtazamo wangu tuu,

Hahaha! pm hajibu kwani wanaume sametime wanapenda kujitoa ufahamu kwa mambo ya ajabu
 
Haha ahahaaa hahaaahaha

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom