Ukumbuke kuja na zawadi_maake wewe nawe...mmmmh!...by the way take care na ma_al shaaabab da Preta_right.usijali dear....nipo safarini Kericho....nikirudi pasi na shaka tutaonana.....karibu sana....nilipata habari za uwepo wako....
Ukumbuke kuja na zawadi_maake wewe nawe...mmmmh!...by the way take care na ma_al shaaabab da Preta_right.
haya sasa_msalimie sana huyo wa Kismayu,..mwambie viatu vikichanika ama kuchafuka alete hapa kijiweni plz.usijali kabisa.....mwenyeji wangu anatokea Kismayu...
Habari zenu.
Nina wiki ya tatu sasa kwenye huu mji wa watu, nimehamishiwa hapa kikazi mgeni na sina marafiki. Kwangu mimi marafiki wanathamani ya pekee katika maisha yangu.Nawakaribisha wote, wa kike na wakiume, mimi ni msichana mchangamfu na napenda marafiki.Tafadhali ni PM kama unania.
aiseeee!...tunakoelekea tutaanza kuulizana hata rangi zetu_kama wewe mweusi ama mweupe,....anyway Mungu atunusuru na dhambi hiiKaribu sana arusha. ila wewe ni supporter wa chama gabni chja siasa???
White wine, mkuu!
Karibu sana arusha. ila wewe ni supporter wa chama gabni chja siasa???
aiseeee!...tunakoelekea tutaanza kuulizana hata rangi zetu_kama wewe mweusi ama mweupe,....anyway Mungu atunusuru na dhambi hii
hapo sasa da Lily.....,kwani wewe ni supporter wa chama kipi?...jokeHalafu ili iweje?????
pamoja sana da Lily Fl.......mzima lakn sister.Well said mkuu, tanzania haina udini wala ukabila wala uchama, wanapokutana wawili watatu wote ni wammoja.
Karibu sana arusha. ila wewe ni supporter wa chama gabni chja siasa???
hapo sasa da Lily.....,kwani wewe ni supporter wa chama kipi?...joke
pamoja sana da Lily Fl.......mzima lakn sister.
Hv na wewe ngurati hapa A town unakuwaga anga ipi? Maana nashangaa baadhi wana JF wenye maoni nzuri tena mnadiriki kuishia kwenye mtandao tu kama vp niPM tujaji mengine mengi ktk ujenzi wa Taifa le2! Karibu Kamanda!
Safi sana White wine + Gordon = Ngongo & Nwaigwe.Vipi mnyama wa taifa unatafuna mimi napatikana sana Apache siku za J2.
Ni kweli mkuu wamesahau JF is beyond keyboards............ mzima lakini kaka?
Habari zenu.
Nina wiki ya tatu sasa kwenye huu mji wa watu, nimehamishiwa hapa kikazi mgeni na sina marafiki. Kwangu mimi marafiki wanathamani ya pekee katika maisha yangu.Nawakaribisha wote, wa kike na wakiume, mimi ni msichana mchangamfu na napenda marafiki.Tafadhali ni PM kama unania.