natafuta manager wa kusimamia kaz zang,

natafuta manager wa kusimamia kaz zang,

Frank Adolf

Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
10
Reaction score
2
Jamani mm nikijana mdogo tu....namtafuta mtu anayeweza kunisaidia katika kaz zang za music. .....napenda sana kuimba na naamin muzik utanitoa kwasababu kipaj ninacho na pia nia ninayo naombeni.. ... Mnisaidie ndugu zang ili nitimize ndoto zang!!
 
Sasa unatafuta Manager au Mdhamini, maana Manager inatakiwa umlipe je ela unayo.
 
Ebu shusha vesi moja hapa kuhusu uhuni wa Slaa na genge lake tuone kama kweli wewe ni msanii uliyepevuka!
 
Sasa unatafuta Manager au Mdhamini, maana Manager inatakiwa umlipe je ela unayo?
 
najua wewe ni mmoja kati ya wale vijana 240,903 wa NECTA waliotangazwa na shukuru kawambwa hivi karibuni mliopata viduara katika mitihani yenu na mliochora mazombi kwenye mtihani
 
Unaitwa nan na umeshawahi kurekodi naweza,labda nika kusaidia..
 
najua wewe ni mmoja kati ya wale vijana 240,903 wa NECTA waliotangazwa na shukuru kawambwa hivi karibuni mliopata viduara katika mitihani yenu na mliochora mazombi kwenye mtihani

hahahahaha
 
Nje manager analipwa na msanii. Bongo manager anamlipa msanii.
kamwe hamnusuriki.
Andika tu kuwa natafuta tapeli wa kutapeli kazi zangu za muziki
 
nenda shule kasome kama wewe ni kijana mdogo acha kutaka kuyapitia denge maisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom