July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
kama kweli unajiamini, andika business plan. wakiifanyia assesment wakaona inawezekana basi utapatiwa funds. hayo mambo mengine sijui marketing, management, blah blah yatakuja mbeleni. huwezi fanya vyote at once. by the way kwa dunia ya sasa hv kila mtu ana shida zake. from no where hawez akakufund hela kisa umeweka namba ako hapo ya tigo pesa. hata charity organizations hazipewi hela kwa namna hiyo. i hope umenisoma