Natafuta Maharage ya njano

Natafuta Maharage ya njano

vunjajungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
576
Reaction score
246
wadau natafuta maharage ya njano kwa bei ya jumla,alie nayo aseme yuko wapi,na bei kwa kilo.mimi nipo tanga.tuwasiliane kupitia 0719416969,bei ya ununuzi ni 800-1100,inategemea na umbali.
 
weka bei yako chief kingine nataka kujua unataka kiasi gani uwingi yaani, tupe buying price....swali la mwisho wewe ndye mnunuzi mwenyewe au?
 
nahitaji tani 10,kuhusu bei nijuavyo mm inapangwa na muuzaji then mnunuzi una bargain,au sio jamani?
 
weka bei yako chief kingine nataka kujua unataka kiasi gani uwingi yaani, tupe buying price....swali la mwisho wewe ndye mnunuzi mwenyewe au?

mimi ndio mnunuzi mkuu
 
Kwetu kigoma mwisho wa reli ndo kwao na hayo maharage kili 1000, mengi mno
 
mnunuzi njoo dar uweke kituo uletewe maharage hayo ya njano......
 
then nitayapata kwa bei gani mkuu?na yanaletwa kiasi gani?thanks.

bei ngoja nikufanyie research.....kwa dar itakuwa rahisi kwako maana kwa waletaji toka kigoma na labda kusini pia kwao rahisi kuja kwa dar....bei kesho ntakupa ngoja leo nifanye mchakato wa bei kamili si unajua na usafiri hapo
 
mkuu kuna sehemu nakumbuka nilikutana nazo kwa wingi tu hayo maharage kuna sehemu moja iko moro milimani panaitwa makwambe, kuna hizo soya, kombaat maharage, maharage ya njano, maharage ya goroli, maharage mekundu marefu....nmeuliza debe huko wanauza sh 25, 000/ ....huko ukikokamaaa utajazaaa hata fuso mbili wewe tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom