Natafuta mafundi wataalamu wa kupaua/kuezeka mirunda.

Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,779
14,377
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza, niko Mwanza ningependa kumpata mtaalamu.

Pia nakaribisha ushauri vipi ni sahihi kupaulia mirunda? Kipi ni nafuu kwa bei kati ya mirunda au mbao za kawaida?

Karibuni!
 
Back
Top Bottom