Natafuta laptop used ya kununua"

Natafuta laptop used ya kununua"

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
11,492
Reaction score
5,049
Habari magreat thinkers! Jamai wakuu ninatafuta laptop used kwa ajili ya matumizi madogo madogo 2, nina Tsh 300,000/= cash, so kama yupo anayeuza naomba anijuze but isiwe mbovu mbovu' Nipo serious jamani.
 
kwa nini unahitaji iliyotumika wakati hilo dau linatosha kununua ambayo haijatumika ila isiyo na akili..!
 
Serikali ya Tanzania imejitolea kuwa kompyuta zote hazina ushuru. Na nyie bado mnatafuta komyuta used?

Naiomba serikali ipige marufuku uingizwaji wa kompyuta zilizotumika.

Jitu lilikuwa linachezea pua, linakoholea key board, linapigia ngunga, nyie bado tu? why?
 
Matumizi madogomadogo ya laptop ni yapi. Ni lazima utumie full power ya laptop kwa hio fikiria tena vinginevyo gharama itakuwa kubwa kwa kuweka kigezo cha matumizi madogomadogo... nina maana ukipata iliyochoka ukaitumia muda mfupi itabidi ununue nyingine baada ya muda mfupi...
 
Shilling laki 3 kama unataka desktop sawa, lakini laptop kwa bei hiyo sahau.
 
Wasiliana na Huyu Mtanzania ndiyo dili zake, namba : 0714/0767 - 039280
 
ninayo toshiba ina ram1gb.hdd60gb.procesor1.6ghz.laki nne nauza 0655945598
 
Serikali ya Tanzania imejitolea kuwa kompyuta zote hazina ushuru. Na nyie bado mnatafuta komyuta used?

Naiomba serikali ipige marufuku uingizwaji wa kompyuta zilizotumika.

Jitu lilikuwa linachezea pua, linakoholea key board, linapigia ngunga, nyie bado tu? why?

Watu bwana unashangaa mtu kuuliza laptop used ya laki 3 . Hujui serikali inaruhusu hata mimbua ya nguo inayouzwa shilingi hata 3,000

Jarbu muwe real Hata nchi zilizoendea uuzaji wa used electronic unakubalika . Ungesema waanze Nguo si elctronic.
 
Nenda Kariakoo mtaa wa Uhuru, maduka , bei ipo mlangoni tu, Laptop laki tatu
 
nina toshiba 120gb hdd 1gb ram na siemens
fugitsu 80gb hdd 3gb ram @ 450000. Sumsung rc
512 750 gb hdd 4gb ram i7 850000 na hp mini
haikai na umeme ni 80 gb hdd 1gb ram utaipata
kwa 300000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom