crusader_jr
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 994
- 866
Habari wanajukwaa, ni kheri na wikiendi inaenda vyema kabisa.
Niende moja kwa moja kwenye dhumuni la uzi huu.
Natafuta laptop aina zifuatazo:
- HP
- ASUS
- LENOVO
Nitachukua mojawapo itayojitokeza yenye sifa tajwa hapa chini:
1. Intel core i3-5
2. Battery itunze chaji for almost masaa12
3. Iwe na fast charger
4. Isapoti 3.0 usb port au 4.0 ila hata 2.0 sio mbaya
5. HDD(GB500-1TB)
6. Ram yake iwe ni GB(4-6 au 8)
7. Keyboard yake iwe inawaka hapa namaanisha iwe na feature ya rangi rofauti kwenye kiibod yake kwa wale watumiaji wa kompyuta mtanielewa
7. Iwe na web camera
8.bOS-windows 10 but ikiwa na linux itafaa sana.
Budget yangu ni 400k - 500k (mwisho)
Nawasilisha.
Samahani kwa matumizi mabaya ya lugha ya malikia na Kiswahili chetu tukufu
"Maendeleo hayana vyama"