Natafuta laptop (tarakilishi mpakato)

Natafuta laptop (tarakilishi mpakato)

Mkuu kwenye electeonics lazima upoteze kimoja kupata kingine. Performsnce haiwezi kwenda in hand na kukaa na charge. The more laptop inavyokuwa poweful the more inavyo pungua uwezo wa kukaa na charge.
kwa sifa hizo zipo mkuu tena zaidi ya hayo masaa
sema kwa bajeti yake haiifikii hata robo ya bei ya specs anazozitaka kwa laptop husika
hvyo atashindwa bei kw kuwa ni ghali mno kutokana na ni za kizazi za sasa na zimetumia tech za kisasa lkn laptop zipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom