Natafuta landcruiser prado

kitalolo

JF-Expert Member
Dec 4, 2006
1,827
707
Inahitajika land cruiser prado sx,lx,au zx. Iliyokwenye hali nzuri ambayo haijawahi kupata madhara na iwe haijawahi kupigwa rangi. Kwa kifupi iwe sawa na imetoka japan. Ya mwaka wowote. Bei kuanzia milioni kumi na tano (15,000,000) lakini pia itategemea na hali ya gari.
Tuma maelezo yote pamoja na picha.
ikiwa Arusha au Dar itapewa kipaombele
 
Mkuu mi nina ka shot cheses sx 5 inaitaji rangi tu . Nimeweka slivs mpya wiki 2 zilizopita . Kama utahitaji ni pm . Ipo arusha.
 
kitalolo

kama hutajali kubadili requirement zako, ninayo Toyota Hiace super custom (living saloon), 2.8, 3L engine (good engine than 1kz), 4WD, just imported from japan in Jan 2012, ideal for staff and tours, very good and mint condition

pm if interested
 
pm if interested[/QUO

Asante kwa kujibu. kwahakika nahiaji hiyo hiyo land cruiser pardo.
Asante
 
Inahitajika land cruiser prado sx,lx,au zx. Iliyokwenye hali nzuri ambayo haijawahi kupata madhara na iwe haijawahi kupigwa rangi. Kwa kifupi iwe sawa na imetoka japan. Ya mwaka wowote. Bei kuanzia milioni kumi na tano (15,000,000) lakini pia itategemea na hali ya gari.
Tuma maelezo yote pamoja na picha.
ikiwa Arusha au Dar itapewa kipaombele

mnhhhh...kama nahisi vile au ndio ukweli...hiyo ofa yako ya 15m ingekuwa sahihi kwenye miaka ya 2007/8 ila hii ya 2012 mkuu lazma ujisogeze kwenye 25m na kuendelea...maana requirements zinagonga kwenye gari iliyopo showroom nadhani na bei ilitakiwa isiwe mbali na ya showroom ya 30m.... ni maoni tuu mkuu NONE PERSONNALLLLLLLLL
 
mkuu mwenye namba nitakupigia na mheshimiwa wa pm pia.
king kong 3 kila post nakuona unaponda kila tangazo mtu analoweka najuwa hatuwezi kufanana kuna wengine na ma - pessimistic
 
Mkuu ninayo sema hela yako ndogo sana kwhyo hela hata verossa upati.

Mkuu Kitaloo, huyu falaa achana nae, anapenda sana kushoboka, kila akiona tangazo la watu kuhitaji vitu kadhaa, hujidai anavyo lakini bei iliyowekwa ni ndogo, kuanzia magari, nyumba, viwanja, mpaka simu, acha nae mbwiga huyu, watu wameshamuweka kwenye ignore list zamani sana.
 
asante mkuu
 
Inahitajika land cruiser prado sx,lx,au zx. Iliyokwenye hali nzuri ambayo haijawahi kupata madhara na iwe haijawahi kupigwa rangi. Kwa kifupi iwe sawa na imetoka japan. Ya mwaka wowote. Bei kuanzia milioni kumi na tano (15,000,000) lakini pia itategemea na hali ya gari.
Tuma maelezo yote pamoja na picha. Mkuu tembelea hapa unaweza kupata moja wapo
menejatraderstz.blogspot.com
 
nashukuru nimekwishapata gari uzi huu unaweza kufungwa sasa.

Thanks to JF maana huyu jamaa pamoja na kwamba tumefanya naye bishara ya gari lakini kitendo cha sisi kukutana tumeongea mengi na inaonekana tutaendelea kushirikia naye kwenye mambo mengi ya kibishara maana tumekuta ni watu tuko kwenye aina ya biashara zinazotegemea,
 
Back
Top Bottom