Natafuta kupata Pick-Up tani tatu

mkys

Member
Apr 3, 2012
31
18
Wana-Jf wenzangu,natafuta kupata pick-up tani tatu hivi, iwe Canter au Isuzu. Bahati mbaya sina pesa ya mkupuo ya kununulia . Ati nafikiri nifanye malipo kwa "installments" kadri ya makubaliano na muuzaji wakati nikiitumia pick-uk kwa shughuli maalumu ya uzalishashaji. Mara nikamilishapo malipo basi niimiliki niendelee na hiyo shughuli kwa malengo niliyonayo. Nawaomba wana-jf wenye kuguswa na wazo hili kwa namna yoyote ile wanipe msaada wa mwelekeo sahii katika hili.
 
nenda kazungumze na watu wa showroom, wanaweza wakawa na hiyo option.

Kwani hizo shughuli zako za uzalishaji ni lazima ifanyike kwa canter/isuzu tani 3?
 
Back
Top Bottom