natafuta kuoa usalama wa taifa

Kuna dada mmoja anaishi pale Sinza Mori na mwingine kijitonyama wote wanatafuta wanaume na wako huko huko unakokutaka......uko serious niwakontakti?
 
kucha za kutosha unazo? maana ukiwakorofisha tu kucha huna na meno as well hahaaa
 
Kwa ninavyosikia usalama wa taifa wote wanaume jipange tena au tafiti zaid ujue ukweli.
 
jaman kama yupo asema kigezo ni kimoja tu usalama wa taifa....

...naona wewe unaham ya kung'olewa kucha,meno bila ganzi na kutobolewa jicho,ukinusurika ni kupigwa na kitu chenye ncha kali/kizito...usalama wa taifa ulikufa na Kambarage yalibaki ni majangili,kazi zao ni kutoboa watu macho,kung'oa kucha na meno ya binadam na tembo...
 
Huwezi kumpata kwa staili hii

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Una lako jambo si bure. Ni nani huyo aliekuudhi unataka kumkomesha. Maana ukishakua na mke toka huko wewe full usalama na mtaani watakukoma manake wakikusogelea tu macho na kucha halali yako.
 
Mimi naanza kukuogopa maana huchelewi kuudhiwa na michango yetu na kututoa kucha kwa remote lol
 
mimi ni daktari na ulimboka nimesoma naye..... labda watanisamehe na itabidi prescribe antipsychotic na anxiolytics ili awe mpole kama mimi
 
Kuna dada mmoja anaishi pale Sinza Mori na mwingine kijitonyama wote wanatafuta wanaume na wako huko huko unakokutaka......uko serious niwakontakti?

mwambie ani pm ntampa mtihani kabla hajakubali asijekuwa mgambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom