Kim Jong Un
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 497
- 270
- Thread starter
- #21
...haaaah ! Anachungulia kaburi..
kwani wao ni sumu naamin ni wakawaida
...haaaah ! Anachungulia kaburi..
Kuna yule binti mpambe wa mama Salma Kikwete, mtafute bado yuko singo!!!!!
Nikajua unataka kuioa ofisi. Nimeshtuka kama vile mie raisi. Kweli naipenda tz!
Nina dada yangu ni usalama wa taifa ana miaka 48,uko tayari nikuunganishe?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
jaman kama yupo asema kigezo ni kimoja tu usalama wa taifa....
Akikuchoka anakutengenezea Movie uko na kimada mwingine mnakula raha Guest House!Hapo talaka lazima itoke tu, chezeyaa Usalama wa taifa weyeeee!!