Jaman mie naanza mapema kabisa kutafuta wakunibeba kwa wale mnaokuja udsm naomba yeyote ani PM---NITALIPIA SEMISTER MOJA AFU NYINGINE UTALIPIA WEWE,kwa wasiojua maana ya kubebwa ukija udsm utajua 2'''KARIBUNI SANA
jaman mie naanza mapema kabisa kutafuta wakunibeba kwa wale wenye division 1 na 2 mnaokuja udsm naomba yeyote anitext 0685 722133-nitalipia semister moja afu nyingine utalipia wewe,kwa wasiojua maana ya kubebwa ukija udsm utajua 2'''karibuni sana
Jaman mie naanza mapema kabisa kutafuta wakunibeba kwa wale wenye division 1 na 2 mnaokuja udsm naomba yeyote anitext 0685 733122-NITALIPIA SEMISTER MOJA AFU NYINGINE UTALIPIA WEWE,kwa wasiojua maana ya kubebwa ukija udsm utajua 2'''KARIBUNI SANA
Mi nilim'beba mtu mwaka 1996/97 pale hall 2 floor ya 3 na nikabebwa hall 5 floor ya nane vile vyumba vikubwa vya pembeni,mwaka 1997/98/99, na 1999/2000 nilim'beba mtu pale hall six... Hivyo naelewa sana unapoongelea maswala ya kubebwa/kubeba....
Ila mda bahati siku hizi kuna simu, sisi enzi zetu unavizia mtu eidha kasoma shule ulikosoma au mnatoka kijiji kimoja au rafiki wa wazazi/ngugu yako katangulia chuo ndo unamuwahi
Inategemea ameingiaje... Enzi zetu huyo kaingia kwa mature age entry.... si ilikuwa kila unayemwona, kaacha historia ya DEV 1 toka form 4 hadi form 6 au kapata pass za juu sana akiwa anatoka FTC.... Yaani una average ya B, na ikiwemo B ya namba. Hayo ya kuingiza Dev 3, nadhani kama yapo basi ni ya siku hizi...
hapana ila nimepitia life la chuo, najua taabu zitokanazo na ukosefu wa malazi kwa wanaunzi mnajikuta hata kwenye chumba kimoja chenye vitanda viwili mnaishi watu hata sita