Natafuta kiwanja njia ya bagamoyo

Natafuta kiwanja njia ya bagamoyo

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,458
Reaction score
4,673
Natafuta kiwanja kiwe maeneo yeyote from Tegeta to Mapinga.

Budget 8 milion.

kama huna huuzi kiwanja please igore this advert.

Kuna wa2 humu ndani wanapenda sana kejeli

utasikia, Milioni nane nenda mabwepande!!

milioni nane nenda Kiluvya na mengine mengi.
 
Kuanzia hapo Tegeta mpaka Mapinga karibu kila kituo cha daladala kuna bango la madalali, ni vizuri ukatenga muda kuwazungukia
 
Natafuta kiwanja kiwe maeneo yeyote from Tegeta to Mapinga.

Budget 8 milion.

kama huna huuzi kiwanja please igore this advert.

Kuna wa2 humu ndani wanapenda sana kejeli

utasikia, Milioni nane nenda mabwepande!!

milioni nane nenda Kiluvya na mengine mengi
.

hahaha! usinichekeshe mkuu, yaani unahitaji msaada halafu unaweka condition tena?
 
Hahahaha kiongozi kawa mkali vibaya...

Sasa kama siuzi lakini namjua mtu anayeuza pia nikae kimya?
 
Port of Bagamoyo.. ( Bandari kubwa kuliko zote africa mashariki na kati ) the East african hub is coming 2017..

Naona wazee wa kuona mbali mshaanza kusaka viwanja.. Ngoja nami nijilipue na mkopo nizame zangu bwagamoyo kusaka ardhi
 
Njia ya Bagamoyo kumbe dili

Tunaambiwa tuchangamkie fursa kila zijitokezapo, wewe wasubiri nini? Wazee wa kuona mbali tayari washaanza kuzichangamkia hizo fursa.
VIVA BANDARI YA BAGAMOYO 2017.
 
Tatizo akiachia ngazi bandari inaweza poteza mvuto.
 
Port of Bagamoyo.. ( Bandari kubwa kuliko zote africa mashariki na kati ) the East african hub is coming 2017..

Naona wazee wa kuona mbali mshaanza kusaka viwanja.. Ngoja nami nijilipue na mkopo nizame zangu bwagamoyo kusaka ardhi

pssssss wasisikie waache walale
 
Hahahaha kiongozi kawa mkali vibaya...

Sasa kama siuzi lakini namjua mtu anayeuza pia nikae kimya?

mmeku nilisahau kuweka na hii kuwa kama unamjua anayeuza nijuze tafadhali
 
Mkuu unataka plot ya barabarani kabisa? Kama unahitaji kama 1km from Bagamoyo road, niPM uwe jirani yangu Mapinga!
 
VIWANJA BEI POA,BAGAMOYO
ENEO;Kutoka dar baada ya kitopeni,2.5km kutoka bagamoyo road.mtaa wa ukuni karibu na kaole.

SQM 1 KWA 9000/=
Viwanja vimepimwa(vipo kwenye ofa),unalipa nusu unashughulikiwa hati.
K/No -sqm
37 -1499
38 -1051
39 -1066
41 -1004
43 -1003
45 -1285
54 -1801
56 -1787
58 -1774

Mawasiliano;0759149202
 
mkuu nenda halmashauri, wana viwanja vimepimwa na wanatoa hadi... bei ni 6000/- kwa spe meters, with 8M utapata size nzuri sana
 
Back
Top Bottom