bongobongo
Member
- Jul 28, 2015
- 82
- 30
NitAfute kwa 0784674578 kipo mbezi . meta za mraba 1300(sq.mtrs).eneo Safi kwa kilimo au ujenzi
PANDA DALADALA MPAKA MBEZI STENDI...PANDA GARI ZA MBEZI MSUMI THEN NJOO PM.Unaweza toa maelezo kwa ufupi mbezi msumi ipi mkuu, tafadhari sn
Keko madawa weka bei na ukubwa mkuuKwa atakae hitaji kiwanja kiko keko madawa pia
Mimi ninavyo winja vya uhakika madale kwa kawawa...plot1 viwanja zaidi ya 20 ukubwa wa 20X20M kwa 6M(hapa vinebaki vi3 tu)Natafuta kiwanja maeneo ya tegeta, Goba, bunju, tabata au kimara
Natafuta kiwanja maeneo ya tegeta, Goba, bunju, tabata au kimara
Mkuu hii mihela unaitaja kwa serikali hii hii au ?? Lil 120 kiwanja bunju !!! Baada ya muda hicho hicho utakiuza mil 30Nina kiwanja bunju cha skwata kina ukubwa wa sqm 700 bei milion 13. nina kiwanja bunju beach kilicho pimwa kina sqm 1250 kina hati ya serikal bei milion 95. nina kiwanja mbweni jkt sqm 750 karibu na beach kina hati ya serikal bei milion 70. nina kiwanja mbweni teta karibu na chuo cha NBA chuo cha uhasibu kiwancha kina sqm 1700 kina hati ya serikali bei tsh 120 mpaka 110 milion. .......ninavyo vingi sana vya ukubwa tofauti na bei tofauti kulingana na maeneo tunavyo vilivyo pimwa na visivyo pimwa for more details check me 0712464777. pia tunazo nyumba za kuuza nzuri maeneo tofaut. Karibuni sana.
Location umeitaja Goba,Ninacho Goba mkuu sq metre 840 ni PM nikupe bei kipo goba mtaa unaitwa tegeta A
lete mil 6.5 upate eneo mbeziNatafuta kiwanja maeneo ya tegeta, Goba, bunju, tabata au kimara
Kama hupo serious njoo uvione(Naamini hata hiyo sita utaiona ndogo)nikichkua vi2 vipi mkuu unanipa kwa 10 hivyo vya Sita sita ..??
Kumbuka pia vya milion6 vimebaki vichache sana..Vya milion7.5 ndo bado vingi kidogo (kama 12 hivi)nikichkua vi2 vipi mkuu unanipa kwa 10 hivyo vya Sita sita ..??
Kuhusu hivyo vya 6M viwili kwa pamoja naweza kukupa kwa 11.5M CASH.. Naweza punguza lak5tu..ikibidi kufanya hivyo(Lakini bei halali ni milion6 kwa kiwanjaX2 = 12M kwa viwanja 2.Nijibu bc mkuu
Mkuu n imekujibu kama unaongea na mimi(
Kuhusu hivyo vya 6M viwili kwa pamoja naweza kukupa kwa 11.5M CASH.. Naweza punguza lak5tu..ikibidi kufanya hivyo(Lakini bei halali ni milion6 kwa kiwanjaX2 = 12M kwa viwanja 2.
Japo ninavyo viwanja pia Mingoi Darajani Upande wa pili ukivuka tu toka Dar upande wa kushoto(Ukiwa site unatazamana moja kwamoja na Bunju B,japo bonde la mto ndo linawatenganisha) Hivi nitakupatia 20X45 kwa milion8 Kamili bila punguzo.(Yaani ni viwanja2 vilivyoungana(kimoja 20X20 +20X25)
Hapa Mingoi vimebaki winja 4 tu..
Labda nikwambie kuwa haya maeneo tuliyachukua kama mashamba mimi na kaka yangu miaka ya nyumba (Sasa maeneo haya yamerasmishwa kwa makazi na yanaendelezwa, watu wanajenga kwa kasi..Hivyo tukayagawa kwenye plots na kuanza kuyauza
Tulianza kuyauza mwaka Jana mwezi wa 6..(Ukitafuta utakuta thread zangu umu JF).
Kama hupo seriuos hebu nicheck kwa namba hii +255 762 466 293(Tujadiliane, maana hatuwezi fika muafaka nyuma ya keyboard, unahitaji kuongea na mimi,pia na kuyaona haya maeneo)
Barikiwa sana..!