Mkuu n imekujibu kama unaongea na mimi(
Kuhusu hivyo vya 6M viwili kwa pamoja naweza kukupa kwa 11.5M CASH.. Naweza punguza lak5tu..ikibidi kufanya hivyo(Lakini bei halali ni milion6 kwa kiwanjaX2 = 12M kwa viwanja 2.
Japo ninavyo viwanja pia Mingoi Darajani Upande wa pili ukivuka tu toka Dar upande wa kushoto(Ukiwa site unatazamana moja kwamoja na Bunju B,japo bonde la mto ndo linawatenganisha) Hivi nitakupatia 20X45 kwa milion8 Kamili bila punguzo.(Yaani ni viwanja2 vilivyoungana(kimoja 20X20 +20X25)
Hapa Mingoi vimebaki winja 4 tu..
Labda nikwambie kuwa haya maeneo tuliyachukua kama mashamba mimi na kaka yangu miaka ya nyumba (Sasa maeneo haya yamerasmishwa kwa makazi na yanaendelezwa, watu wanajenga kwa kasi..Hivyo tukayagawa kwenye plots na kuanza kuyauza
Tulianza kuyauza mwaka Jana mwezi wa 6..(Ukitafuta utakuta thread zangu umu JF).
Kama hupo seriuos hebu nicheck kwa namba hii +255 762 466 293(Tujadiliane, maana hatuwezi fika muafaka nyuma ya keyboard, unahitaji kuongea na mimi,pia na kuyaona haya maeneo)
Barikiwa sana..!