Natafuta kiwanja maeneo haya Dar es Salaam

Natafuta kiwanja maeneo haya Dar es Salaam

Mimi ninavyo:

1 . Mbezi (Bonyokwa) Eneo maarufu kama Magarisaba.

Ni Jirani Sana na Chuo cha St. joseph (Dar campus)

UKUBWA:
Kiwanja Kipo na ukubwa wa wastani wa Mita za mraba 1300(sqm)
Bei Tshs. 65M(Milioni Sitini na tano)
Mazungumzo yapo.

Kiwanja sio 'Surveyed',

Eneo limejengeka na Umeme upo Jirani Sana.

Eneo linauhitaji mkubwa wa Hostel kwaajili ya Wanafunzi.

Pia,
Kipo Kiwanja kingine Kigamboni 'Golani'
Ukubwa ni Mita za mraba 1500.

Kimepimwa.

Bei ni Tshs. 30M (Milioni Thelathini)

Eneo Ndio linaanza kujengeka.

Maelezo zaidi, Njoo chemba.
 
Nina kiwanja bunju cha skwata kina ukubwa wa sqm 700 bei milion 13. nina kiwanja bunju beach kilicho pimwa kina sqm 1250 kina hati ya serikal bei milion 95. nina kiwanja mbweni jkt sqm 750 karibu na beach kina hati ya serikal bei milion 70. nina kiwanja mbweni teta karibu na chuo cha NBA chuo cha uhasibu kiwancha kina sqm 1700 kina hati ya serikali bei tsh 120 mpaka 110 milion. .......ninavyo vingi sana vya ukubwa tofauti na bei tofauti kulingana na maeneo tunavyo vilivyo pimwa na visivyo pimwa for more details check me 0712464777. pia tunazo nyumba za kuuza nzuri maeneo tofaut. Karibuni sana.
Nimekupata mkuu, niko serious kama utakuwa navyo kati ya hayo maeneo nlokutajia, thanks
 
Mkuu nimeomba ufunguke bei, ili tuchekiane pia ni vizuri ugusie maeneo kilipo, thanks
Mkuu kiwanja kipo goba jirani na shule ya precious
Kina fensi ya ukuta tayari,
Kina mashimo ya choo yaliyotayari,
Ukubwa ni 35/25,
Mbele kuna eneo la kujenga frem,
Bei ni milioni 15,kuandikishana unalipia mwenyewe,hamna dalali.
 
Ndg njoo kimara nkupe kiwanja 40*40 nyumba iliyopo kwenye kiwanja ni ya kuezeka na kuhamia,au kama uko vizuri njoo sinza nikupe kiwanja 40*40 chenye vyumba viwili,KM UPO SERIOUS NI_PM TUFANYE BIASHARA
 
Vizuri nipe bei mkuu, niko zaidi ya serious kama sio bei za kupaa tutafanya biashara, pia nielekeze sinza ipi na kwa kimara nambie kimara ipi mkuu
 
Mkuu kiwanja kipo goba jirani na shule ya precious
Kina fensi ya ukuta tayari,
Kina mashimo ya choo yaliyotayari,
Ukubwa ni 35/25,
Mbele kuna eneo la kujenga frem,
Bei ni milioni 15,kuandikishana unalipia mwenyewe,hamna dalali.
Kaka kama uko tayari tufanye biashara mi nna kumi na moja hali saivi imekaza sana, viwanja vinashuka na havitopanda leo kumbuka ndo fresh toka kweny uchaguzi, nipeni kwa hii bwana 11
 
Ni pm ninavyo Goba, vipo kwenye maeneo mazuri ya makazi miundombinu mizuri, na huduma zote za kijamiiiii
 
Kigamboni 'Ras Dege' vipo viwili kwa pamoja, vina hati .. Gharama nyingine zote mnunuzi mimi zangu 30m.. Mimi ndie mmiliki
 
Kiwanja kipo maeneo ya IPTL juu eneo maarufu kwa jina la Kanisa la Mabati bei ni maelewano
 
Ukubwa wake ni 35/25 bei ni 18m maelewano yapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom