Natafuta kiwanja Dar es Salaam (Tabata au Kinyerezi)

Babu Kijana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
589
Reaction score
278
Habari ndugu,

Mimi ni kijana niko katika harakati za kujenga maisha japo kwa kujitutumua sana natafuta kiwanja kisichozidi bei ya 5mil Tsh maeneo ya Tabata au Kinyerezi, kiwanja kilichopimwa na size ianzie angalau 600 Sqm kwa ajili ya makazi. Mwenye kujua kinauzwa au kipo anicheki DM

Shukrani.
 
Humu unatafuta kupigwa tu...nenda eneo husika waona madalali wa huko
 
Dogoo unaelekea 'kuingizwa mjini' a.k.a 'kupigwa'...………...
 
kinyerezi 600qm kwa milion 5 utapigwa njoo DM nikukatie changu kipo barabarani karibia na kituo tu
 
Kiwanjaa milion tano tena tabata ..hauko serious wew labda walau useme milion 30 au 40 hv namkumbuka jamaa angu anafanya kazi crdb. Hapo alinunua kiwanja maeneo ya sinza mori sq600 bei ilikuwaa milion 40
 
Habari ndugu,

Mimi ni kijana niko katika harakati za kujenga maisha japo kwa kujitutumua sana natafuta kiwanja kisichozidi bei ya 5mil Tsh maeneo ya Tabata au Kinyerezi, kiwanja kilichopimwa na size ianzie angalau 600 Sqm kwa ajili ya makazi. Mwenye kujua kinauzwa au kipo anicheki DM

Shukrani.
Ushauri wangu,viwanja vizuri na vyenye usalama, hakuna buguza, umeme na maji na mahitaji mengine muhimu ya kijamii yanapatikana.
Angazia viwanja vya kibaha,Pwani.
 
Kiwanjaa milion tano tena tabata ..hauko serious wew labda walau useme milion 30 au 40 hv namkumbuka jamaa angu anafanya kazi crdb. Hapo alinunua kiwanja maeneo ya sinza mori sq600 bei ilikuwaa milion 40
Sinza Mori 40??? Weee unachekesha, sinza Viwanja/Pagale zinaanzia 80M mkuu
 
Habari ndugu,

Mimi ni kijana niko katika harakati za kujenga maisha japo kwa kujitutumua sana natafuta kiwanja kisichozidi bei ya 5mil Tsh maeneo ya Tabata au Kinyerezi, kiwanja kilichopimwa na size ianzie angalau 600 Sqm kwa ajili ya makazi. Mwenye kujua kinauzwa au kipo anicheki DM

Shukrani.
Mkuu kwa Bei hio embu tuwasiliane Uje Huku Kwetu kuna viwanja vya bei hio ila sio kwa size unayotaka.Kuna amacho kina ukubwa huo,hakina hati ila kinabei ya Mili 3.7.Kipo maeneo ya Mbutu Kichangani-Kimboni.
Kuna ambacho kina ukubwa wa sqm 200 kipo chanika kinakwenda kwa M3.5 kina nyumba imefika kwenye lenta ya kupau na uhamia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom