Kisungu ipo Bagamoyo, Songea, Tabata, Tegeta au Sumbawanga. Eleweka wajumbe wajekaribia na shule ya kisungu ila nataka milion 13 kipo karibia na kituo tu
Kisungu ipo Bagamoyo, Songea, Tabata, Tegeta au Sumbawanga. Eleweka wajumbe wajekaribia na shule ya kisungu ila nataka milion 13 kipo karibia na kituo tu
Nidm nikuunganishe na mjumbe kule hautakosa, hakuna udalaliHabari ndugu,
Mimi ni kijana niko katika harakati za kujenga maisha japo kwa kujitutumua sana natafuta kiwanja kisichozidi bei ya 5mil Tsh maeneo ya Tabata au Kinyerezi, kiwanja kilichopimwa na size ianzie angalau 600 Sqm kwa ajili ya makazi. Mwenye kujua kinauzwa au kipo anicheki DM
Shukrani.
We mkuu nenda ukione hao wanaokukatisha tamaa ni madalali wanyonyaji hao, sisi ndio tunajua hali halisi ya uchumi na watu mitaani wana hali gani. Kuna mtu alikua na nyumba anauza million 75, amekaa nayo mpaka sasa anatafuta milion 40 ,apewe angalau 20 cash nyingine alipwe kidogo kidogo lakin amekosa. Wewe nenda ukione kiwanja ,jiridhishe na mazingira yake. Hakuna cha Kinyerezi wala Goba ,wala Madalekinyerezi 600qm kwa milion 5 utapigwa njoo DM nikukatie changu kipo barabarani karibia na kituo tu
Kiwanjaa milion tano tena tabata ..hauko serious wew labda walau useme milion 30 au 40 hv namkumbuka jamaa angu anafanya kazi crdb. Hapo alinunua kiwanja maeneo ya sinza mori sq600 bei ilikuwaa milion 40
Chalinze maeneo haniMkishindwana mwambie aje Chalinze ninacho mil 3.[emoji23][emoji23]
we nae si kasema kinyereziKisungu ipo Bagamoyo, Songea, Tabata, Tegeta au Sumbawanga. Eleweka wajumbe waje
mil3 plus hio nyumba?Mkuu kwa Bei hio embu tuwasiliane Uje Huku Kwetu kuna viwanja vya bei hio ila sio kwa size unayotaka.Kuna amacho kina ukubwa huo,hakina hati ila kinabei ya Mili 3.7.Kipo maeneo ya Mbutu Kichangani-Kimboni.
Kuna ambacho kina ukubwa wa sqm 200 kipo chanika kinakwenda kwa M3.5 kina nyumba imefika kwenye lenta ya kupau na uhamia