Natafuta kiwanja cha milioni 4 Dar, nitapata wapi?

Njoo kinyerezi king’azi kipo hatua 12 kwa 13 kwa bei hiyo
 
Kihaba kachukue eneo kubwa
Huku kwengine unabeti
 
Mwenye connection aniambie jamani, 2022 ni mwaka wa kujenga sasa.

Njoo king’azi nikupe vipande vipo viwili ukiunganisha pia ni sawa maana ni kiwanja kimoja lakini ukikifikia nusu ni sawa nakukatia, soweto park King’azi njia ya kinyerezi kwenda mbezi
 
Utapata vipo sema nje ya mji sana.

La sivyo ogopa matapeli ukiona nafuu sana saingine unaibiwa ukute ni cha mtu.
 
Njoo upate kiwanja Tundwi Songani Kigamboni kwa miliono 2 tu. PM kwa mawasiliano
 
Kiwanja Kipo
Nichek kwa 0684848801
Location Bunju - Mabwe Pande
Sqm 400
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…