Njoo Kisemvule ipo km 8 kutoka Mbagala nikuuzie uwanja wa 2.5ml upate na tofali 1200 za umeme 0683715151Mwenye connection aniambie jamani,2022 ni mwaka wa kujenga sasa.
Thread closednjoo kisemvule ipo km 8 kutok mbagala nikuuzie uwanja wa 2.5ml upate na tofar 1200 za umeme 0683715151
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Ni ngapi kwa ngapiNjoo kisemvule ipo km 8 kutok mbagala nikuuzie uwanja wa 2.5ml upate na tofar 1200 za umeme 0683715151
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
20 kwa 20 mazingira ni tambalale usafir kutoka barabara kuu ni 500 kwa bajaj na 1000 bodaNi ngapi kwa ngapi
Kinyerezi, Malamba mawili vipo vingi na vizuri.Ni ngapi kwa ngapi
Umechukua chako mapema kutoka wapi au ndio lile kundi la badluck & co, mmelipwa marupurupu ya kazi yenu bambikizi na Ile ya kimichongo🤔.Mwenye connection aniambie jamani, 2022 ni mwaka wa kujenga sasa.
HahahahahhaUmechukua chako mapema kutoka wapi au ndio lile kindi la badluck &co, mmelipwa marupurupu ya kazi yenu bambikizi na Ile ya kimichongo🤔.
NawasubiriNgoja waje kukupa muongozo...
Mkuu Kiluvya ipi hyo, ni mbele ya kwa Sumaye??Kuna mtu anauza ekari moja (64m x 64m) kwa milioni nne.Eneo lipo Kiluvya Makurunge (15 km toka Morogoro Rd).Ana eneo kubwa hivyo anauza kuanzia ekari moja. Eneo ni pori hivyo linamfaa mtu anaye plan kuanzia miaka 3 na kuendelea.Kama unahitaji ni PM
Mkuu kiluvya ipi hyo, ni mbele ya kwa sumaye??
Sio kweli. Vipo kibao hata chini ya 4MStandard size ya kiwanja ni mita (20 by 20) sawa na sqm 400. Mil 4 dar huwezi kupata labda kama unataka kupigwa. Ila unaweza kupata mikoa jirani na dar at least 8km ndani. Njoo pm nikupe kiwanja 'kiluvya ya kisarawe'. Ni 10 min. huko da
Ok, kunaendelea kwa kasi sana pande zileNdiyo.Unapita serikali ya mtaa na shule ya masister
Nnacho cha 2.1ml....mita nane kwa kumi na nne... location Majohe kwa Ngozoma, 0624406434Mwenye connection aniambie jamani, 2022 ni mwaka wa kujenga sasa.