Natafuta kituo cha Redio nifanyie Field Dar

AbbasTwalb

Member
Joined
Oct 15, 2020
Posts
13
Reaction score
32
Habari za muda huu wadau, natumai wote ni wazima.

Mimi naitwa Abbas Twalb ni mwanafunzi wa chuo uandishi wa habari na utangazaji hapa Dar es Salaam katika ngazi ya Certificate ambapo mwenzi wa Tano natarajia Kufanya mtihani na nikimaliza hapo Itanibidi nikafanye Field katika kituo cha redio Ama Tv ili nikirudi chuo niingie Diploma.

Nilikuwa nawaomba kama kuna mtu Humu anaweza kuniambia kituo cha redio kirahisi ambacho naweza kufanyia Field anisaidie mapema ili nisisumbuke sana mdogo wenu.

Kikubwa nitashukuru sana kama mtaniwezesha juu ya hilo asanteni.
 
Mbona Upo Sehemu Nzuri
Nenda TBC,Azam Media,IPP MEDIA
 
Kote huko kuna wanoko baraaa....hutopata,nenda redio Uhuru,redio ya CCM, wanauhitaji WA watu WA kufanya field, ila Kadi yako ya chadema weka pembeniii......piaa uwe unasifia Sanaa mama yetu, hata akitupa kalamu,wewe andik ametupa dhahabu
Akifuata ushauri mzuri huu..atatoboa mno
 
Kote huko kuna wanoko baraaa....hutopata,nenda redio Uhuru,redio ya CCM, wanauhitaji WA watu WA kufanya field, ila Kadi yako ya chadema weka pembeniii......piaa uwe unasifia Sanaa mama yetu, hata akitupa kalamu,wewe andik ametupa dhahabu
[emoji23] [emoji23] Dah kwani Mama si alisema Tusipewe maneno ya kusema?.. Bas sawa
 
Habari za muda huu wadau, natumai wote ni wazima.

Mimi naitwa Abbas Twalb ni mwanafunzi wa chuo uandishi wa habari na utangazaji hapa Dar es Salaam katika ngazi ya Certificate ambapo mwenzi wa Tano natarajia Kufanya mtihani na nikimaliza hapo Itanibidi nikafanye Field katika kituo cha redio Ama Tv ili nikirudi chuo niingie Diploma.

Nilikuwa nawaomba kama kuna mtu Humu anaweza kuniambia kituo cha redio kirahisi ambacho naweza kufanyia Field anisaidie mapema ili nisisumbuke sana mdogo wenu.

Kikubwa nitashukuru sana kama mtaniwezesha juu ya hilo asanteni.
Media Kubwa nyingi Field zao unatakiwa ulipe tena sio chini ya Laki Moja unless uwe na connection, so we tafuta izi media ndogo ishi nazo vzur tena ukimaliza diploma ako unaweza ajiriwa apo
 
Back
Top Bottom