Mlendamboga
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 668
- 347
Kuna kakitabu kalitungwa na mtu anaitwa Mapunda(Kwa sasa ni marehemu kama sijakosea) nadhani pia alikuwa mchoraji kwenye gazeti la Sani miaka hiyooo ya 90. Kwenye kitabu hicho cha hadithi, mhusika mkuu aliitwa James Akeke alikuwa ametumwa kwenye mission ya kuokoa hivi, kana story na picha za kuchora lakini zilikuwa nzuri sana jina la kitabu limenitoka, wenye kukisoma tukuje hapa!!