Xoldier JF-Expert Member Joined Mar 27, 2017 Posts 424 Reaction score 153 Apr 29, 2017 #1 Wadau naombeni msaada wa kitabu cha UVIVU wa MWAFRIKA. Nisaidieni tafadhari, naamini mnajari na kuthamini na shida zingine. Please
Wadau naombeni msaada wa kitabu cha UVIVU wa MWAFRIKA. Nisaidieni tafadhari, naamini mnajari na kuthamini na shida zingine. Please
Diwani JF-Expert Member Joined Oct 25, 2014 Posts 2,904 Reaction score 3,145 Apr 30, 2017 #2 mmmmh kumbe kuna vitabu kama hivyo basi niungane na wewe kukutafuta asee seems nice
Xoldier JF-Expert Member Joined Mar 27, 2017 Posts 424 Reaction score 153 May 1, 2017 Thread starter #3 diwaniz said: mmmmh kumbe kuna vitabu kama hivyo basi niungane na wewe kukutafuta asee seems nice Click to expand... Kipo kiongozi, nilisimuliwa na mtu kidogo, so nataka darasa kamili
diwaniz said: mmmmh kumbe kuna vitabu kama hivyo basi niungane na wewe kukutafuta asee seems nice Click to expand... Kipo kiongozi, nilisimuliwa na mtu kidogo, so nataka darasa kamili