aggrey kimambo
Senior Member
- Aug 10, 2015
- 129
- 142
Kama kichwa kinavyosema natafuta kioo kipya cha gari aina ya IST ya mwaka 2002 cha nyuma na cha mbele.Mwenye uwezo wa kunisaidia ani PM.
niko arusha, bei yake ikoje kioo cha mbele cha ist old model?mkuu upo wapi sio utafute sema tukuelekeze wapi wanauza .kama upo dar huna haja ya kusema unatafuta bali nikukamata mkwanja mkononi na kukuelekeza vinako uzwa hata kama upo nje ya dar utatumiwa tuu
Mimi nilinunua kioo cha mbele cha vitz mwaka Jana pale temeke sudani kwa elfu 90 pamoja kuweka Wakala kama Laki hiviniko arusha, bei yake ikoje kioo cha mbele cha ist old model?
thx boss nahs sasa hv itakuwa laki moja but arusha sjajua ni kias gan but naskia ni garama kuliko dsm...Mimi nilinunua kioo cha mbele cha vitz mwaka Jana pale temeke sudani kwa elfu 90 pamoja kuweka Wakala kama Laki hivi