Natafuta kioo cha ndani cha flat TV

Natafuta kioo cha ndani cha flat TV

Pettymagambo

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2017
Posts
1,524
Reaction score
8,274
Salaam wana jamvi, naomba msaada kama nitapata kioo cha star x inch 43 led Tv. nipo Katoro Geita, hata kikuukuu kama nikizima tutaelewana.

Nawasalisha.
 
Upo mkoa gani? naomba tuwasiliane kwa sms namba 0752101593
 
Mkuu jipange upate tv nyingine mana hicho kioo bei ni nusu ya tv mpya!!
 
Back
Top Bottom