wana jf mwenzenu natafuta king'amuzi cha matangazo ya tv na je ninunue kipi kati vinavyotumika hapa nchini kwani kuna vingine vinasumbua ushauri wa mapema muhimu ikizingatia kuwa kipindi nikipendacho "bunge" linaanza kesho
Una uhakika?Hakunabunge linalooneshwa kwenye tv kwa sasa labda lililofanyiwa editing hata ivyo haijatangazwa wataonyesha saa ngapi na lini mkuu; hata tivi ya sirikali hakunaga
Bunge limeonyeshwa TBC itakuwa dstv yako si hii wengine tunatumia
Mkuu mimi nimekimbilia huko kama week moja iliyopita nimepata hicho king'amuzi cha digitek kwa muda niliotumia nimeona tofauti kubwa na star times hakuna ya mambo ya kugeuzia antenna huko natumia antena niliyonunua star times .Mwenye ufahamu na king'amuzi cha''Mengi'' hebu mtuambia kama nacho ni kama CD yenye mikwaruzo au la,sababu nimeambiwa hakiumii satelaiti/hakitumii ungo ni kama StarTimes,sasa nina wasiwasi na mabo ya kusema antena ielekezwe Kisarawe na sisi watu Mabwepande situjui tutambiwa tuelekeze antenna wapi,pia la muhimu ni channeli zipi hicho king'amusi cha Mengi kinaonyesha ,mwenye kujua atueleze,nataka nikimbilie huko kwa Mengi kwani zigo la kila mwezi la ZUKU limenielemea.
Kama ni kweli nasubiri na hawa wa star TV nione maana nao walisema wanaleta aina ya DVB T2 sawasawa na vya mengi ambavyo ndio technologia ya karibuni. Tutawakimbia kabisa hawa wachina bora hata kama tunaibiwa tuibiwe na wabongo wenzetu.nimechukia sana juzi nimenunua kadude chao ati wamenipa mkataba na kuniambia kuwalazima niwe ninaweka elfu sita kwa mwezi lasivyo sione chochote. chanel zenyewe ndio zile nne za bure za mamlaka ya mawasilianoMkuu mimi nimekimbilia huko kama week moja iliyopita nimepata hicho king'amuzi cha digitek kwa muda niliotumia nimeona tofauti kubwa na star times hakuna ya mambo ya kugeuzia antenna huko natumia antena niliyonunua star times .
Channel zilizopo ni : ITV, EATV,STAR TV, MLIMANI TV, CLOUD TV, CHANEL TEN, ALJAZERA, EMMANUEEL TV, CITIZEN TV,AFRICA TV, Zipo channel kama 20 nyininge nimesahau maana huwa na hamia DSTV pia kwenye soka.
Wana JF mwenzenu natafuta king'amuzi cha matangazo ya tv na je ninunue kipi kati vinavyotumika hapa nchini kwani kuna vingine vinasumbua ushauri wa mapema muhimu ikizingatia kuwa kipindi nikipendacho "BUNGE" linaanza kesho
nina uhakika kwa asilimia zaidi ya 90% NIPO home nina DSTV pia dish kubwa lenye free channels hukuna hata moja inayoonesha hilo BUNGE labda liwe la nchi nyingine na channel nyingine za nje ya nchi
Mkuu mimi nimekimbilia huko kama week moja iliyopita nimepata hicho king'amuzi cha digitek kwa muda niliotumia nimeona tofauti kubwa na star times hakuna ya mambo ya kugeuzia antenna huko natumia antena niliyonunua star times .
Channel zilizopo ni : ITV, EATV,STAR TV, MLIMANI TV, CLOUD TV, CHANEL TEN, ALJAZERA, EMMANUEEL TV, CITIZEN TV,AFRICA TV, Zipo channel kama 20 nyininge nimesahau maana huwa na hamia DSTV pia kwenye soka.
nina uhakika kwa asilimia
zaidi ya 90% NIPO home nina DSTV pia dish kubwa lenye free channels
hukuna hata moja inayoonesha hilo BUNGE labda liwe la nchi nyingine na
channel nyingine za nje ya nchi
Mkuu mimi nimekimbilia huko
kama week moja iliyopita nimepata hicho king'amuzi cha digitek kwa muda
niliotumia nimeona tofauti kubwa na star times hakuna ya mambo ya
kugeuzia antenna huko natumia antena niliyonunua star times .
Channel zilizopo ni : ITV, EATV,STAR TV, MLIMANI TV, CLOUD TV, CHANEL
TEN, ALJAZERA, EMMANUEEL TV, CITIZEN TV,AFRICA TV, Zipo channel kama 20
nyininge nimesahau maana huwa na hamia DSTV pia kwenye soka.
je hii kitu ipo hadi mikoani? Hasa hii ambayo startimes huduma zao zilikuwa hazitolewi. Mf. Mkoa wa iringa hiyo easy tv ipo? Kwan nimekuwa nikiona vi dish vya dstv na zouk tuInategemea mahali ulipo.Kama unaishi Dar nadhani una options nyingi zaidi kuliko wa mikoani, hasa kwa visimbuzi visivyotumia antenna. Kama ni hizi za kulipia bei ndogo unaweza kununua cha Easy TV. Humo unapata StarTv, Itv, EATV, Channel 10, DTV, CLouds TV, Movies channel 4, chanel moja ya soka (mara nyingi recorded), CCTV4, MTV, Nickelodeon nk. Ni channel kama 33 hivi na unalipia 9000/- kila mwezi.
je hii kitu ipo hadi mikoani? Hasa hii ambayo startimes huduma zao zilikuwa hazitolewi. Mf. Mkoa wa iringa hiyo easy tv ipo? Kwan nimekuwa nikiona vi dish vya dstv na zouk tu
nawashukuru sana,kwa msaada wenu,sijapata wasifu wa DSTV Makaburu,nawaomba mchango wenu tena,ila nawaonya mawakala wa chama cha kijani kwa kuzuia mjadara wa bb (BUNGE LA BAJETI) usiwe hewani sijapenda wewe je unafurahia BUNGE Kutokuwa hewani 'LIVE'