Mungu ni mkuu mno,
Mungu ni wa rehema sana...........
Lakini nikuhakikishie mleta mada tatizo lipo na we mwenyewe
Huu uandishi hausadifu mtu aliye na degree hata kidogo.....
Jaribu kutokua na pupa unapoandika CV, na unapojibu maswali kwenye Intavyuu...
Mkuu rekebisha hapo kwanza, then mwambie Mungu, ",ULINISOMESHA ZAIDI YA MIAKA 16, SASA NAHITAJI KAZI BABA"......
Huu mwaka hautakwisha mkuu, niamini mimi...