Natafuta kibanda cha Tigo Pesa cha chuma used

Natafuta kibanda cha Tigo Pesa cha chuma used

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,300
Wakuu natafuta kinanda cha biashara used cha Tigo Pesa na kuweka baadhi ya biashara zingine, kiwe cha chuma kama hivi ambavyo wanatumia watu wa Tigo Pesa.

Kibanda kiwe used, maana bajeti yangu ni njiwa, urefu kiwe futi sita,na upana kiwe na futi tano. bajet yangu ni 300000 ( laki tatu).

Kwa mawasiliano 0757994417. Naishi Dar
 
ni kibanda cha biashara wadau,sio kinanda.....nimekosea kuandika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom