Natafuta kazi

france13

Member
Jan 2, 2016
5
0
Wanajamii forum, samahanini kwa usumbufu kidogo,

Nina mdogo wangu wa kuzaliwa amebahatika kuhitimu shahada ya kwanza ya Geographia na Mazingira mwaka 2014.

Sasa anatafuta kazi yoyote inayohusiana na hiyo au hata kama itakuwepo hiyo ya fani yake atashukuru pia.

Ndugu wanajamii forumu naombeni msaada wenu wa hali na mali mdogo apate kazi maana hata mm kakaake sina kipato cha kutosha cha kuweza kumsaidia.

Asanteni sana, naamini mtanisaidia.
 
Last edited by a moderator:
france 13, ajira za hiyo course ni kazi sana! Serikali bado haijaanza kuajiri watu Wa hiyo course, "katibu tarafa" ndo naonaga mtu Wa kozi hiyo huwa anatajwa, dogo awe mpole tu..akasome post graduate ya ualim OPEN university of Tanzania! Wako cheap aisee...
 
Back
Top Bottom