natafuta kazi

natafuta kazi

Kama kuwa MSICHANA na kuwa na DIPLOMA ya Law inatosha kupata kazi basi karibu kila mtu angekuwa na kazi. Unahitaji kuonyesha utofauti wako na watafuta kazi wengine. Anyway kila la heri kuna waajiri kibao humu...
 
Ngoja Wahusika Waje Utaipata Hiyo Kazi
Dadangu Wala Husiadaike Na Wapiga Porojo
Ila ChimbuaChimbua Details Zako Ili Wadau Wavutike!
 
fafanua in details, ur perfomance etc, ila nakushauri;
1: kama inawezekana endelea na degree, umeanza vizuri
2: unaweza kuomba kazi kuwa kama secretary wa maadvocate au karami wa mahakama za chini huko utapata uzoefu wa kukusogeza mbele,
3: unaweza kufanya kazi tofauti na hiyo ya law, jaribu kuangalia course ulizosoma kama zinaingia kwenye business, social sciences unaweza kuomba kazi kwenye institutions tofauti na hizo za law, mfano kama una course yeyote iliyoingia social sciences, mfano kama umesoma haki za watoto, case za ndoa, unaweza pia kuomba kazi wizara ya ustawi wa jamii.
4.kampuni nyingi hasa zile za international au niseme mashirika mengi huwa wanataka legal advisor mfano different NGO's hapa nchini, unaweza pia kuchekicheki.all the best,kwa ushauri zaidi au kama kuna sehemu hujaelewa nichek amelinechao@gmail.com
 
Kwa nini usiombe kazi mahakama za mwanzo? Au ndo unataka daslamu tu? Mahakama ukiomba kazi fasta unapigwa na vilaki kadhaa vya kuendea tandahimba. Huko kesi za kuku na ugoni hazipungui.
 
Legal advisor wa ngo ama international organisation mwenye diploma ya sheria? Umenikumbusha nilipomaliza kadigirii ka kwanza nikiomba u-deputy country director wa wwf, nikishauriwa niachane nazo naona wananionea wivu. Lol
fafanua in details, ur perfomance etc, ila nakushauri;

4.kampuni nyingi hasa zile za international au niseme mashirika mengi huwa wanataka legal advisor mfano different NGO's hapa nchini, unaweza pia kuchekicheki.all the best,kwa ushauri zaidi au kama kuna sehemu hujaelewa nichek amelinechao@gmail.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom