Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,413
- 40,919
Sogea pale buguruni kiwanda cha ngano cha bakresa,wanaajiri kila dakika.
Si nasikia vijana huwa wanaacha ndala hapo
Sogea pale buguruni kiwanda cha ngano cha bakresa,wanaajiri kila dakika.
Ndo maana wanaajiri kila dakikaSi nasikia vijana huwa wanaacha ndala hapo