OfficilaNdurotz
Member
- Sep 13, 2019
- 26
- 37
- Thread starter
- #21
Nipe ramaniKa vipi njoo tupige jembe hapa chinangali..mvua zinanyesha mno
Nipe ramaniKa vipi njoo tupige jembe hapa chinangali..mvua zinanyesha mno
Sio kila mtu anaufahamu ndo maana kaomba maarifaIT unatafita KAZI? Kwann usitafute KAZI online freelancing sijui mnafundishwaga nini huko vyuo. Mbona KAZI ni nyingi na malipo ni foreign currency
Labda South Korea ila japan hapana wana maadili sana wale jamaaSio lazima ulaya sema tu wengi kwa sababu ya English kuna nchi zinalipa vizuri na uhakika na sio ulaya mfano South Korea, Japan,Oman,nk
Lugha sio kikwazo kwa dunia ya sasa AI unaongea lugha yeyeto duniani
Hutaki nchi yenye maadili? Wewe ni kibaka?Labda South Korea ila japan hapana wana maadili sana wale jamaa
Ni mtu wa konakona, kazi chafu na madiliHutaki nchi yenye maadili? Wewe ni kibaka?
Kama pesa ipo hayo maadili ni yaoLabda South Korea ila japan hapana wana maadili sana wale jamaa
Utaishi kwa tabu, maana huwezi leta uswahili wako wa bongo kuleKama pesa ipo hayo maadili ni yao
Ukijua ulichofata huwezi leta uswahiliniUtaishi kwa tabu, maana huwezi leta uswahili wako wa bongo kule